Msanii wa Bongo movie, Irene amechukua fomu ya kugombea ubunge wa Viti Maalum kwa tiketi ya CCM huko Tabora.Hizi ni picha alizotutumia wakati akikabidhiwa fomu hiyo.
No comments