Header Ads

Daimond Platnumz ameshinda tuzo nyingine Afrika Kusini. (African Achievers awards)

Siku chache tu baada ya Diamond Platnumz kushinda tuzo ya BEST LIVE ACTkwenye tuzo za MTV BASE AFRICA Durban Africa Kusini, Jana usiku ametangazwa tena kushinda tuzo nyingine kama AFRICAN ACHIEVERS AWARDS 2015 zilizotolewa Johannesburg Afrika kusini.


No comments

Powered by Blogger.