Header Ads

Breaking news!! Picha zinatisha, Kijana wa miaka 20 akutwa ameuawa barabarani

Kijana mmoja anayesakiwa kuwa na umri wa miaka 20+ amekutwa asubuhi ya leo katika barabara ya Abia akiwa amejeruhiwa vibaya na kupoteza maisha, Amna ata mtu mmoja aliyeweza kumfaamu na waliomjeruhi kijana huyo ambaye mwili wake ulionekana kuwa na majeraha mengi. Watu wote wanao ishi karibu na maeneo hayo wameonekana wakiogopa kuhusishwa na tukio hilo hivyo wamefunga maduka na nyumba zao na kukataa kabisa kufanya maojiano na polis wakiofia kukamatwa kwa raia wema ambao awajausika katika tukio hilo.




No comments

Powered by Blogger.