Header Ads

Wanawake 3 wamteka mwanaume, Wambaka na kumwibia mbegu za kiume na kutoweka nazo....

http://tz-raha.blogspot.com/
Mwanaume mmoja anayesadikika kuwa na miaka 33 ametekwa na kubakwa na wanawake watatu ambao walikuwa na malengo ya kutafuta mbegu za kiume na kisha kutoweka nazo kusiko julikana..

Tukio hili la aina yake limetokea hivi karibuni huko South Afrika amabapo inasemekana walimteka na kwenda nae umbali wa 300miles na kisha kumnywesha kinywaji ambacho yeye mwenyewe hakukifahamu na baada ya hapo wakambaka na kuchukua mbeyu zake na kuziweka katika kibegi cha plastiki na kuondoka nazo...

(A man was kidnapped and raped at gunpoint by three women who wanted to harvest his semen.

The trio stopped in a black BMW in South Africa to ask for directions then bundled him into a car before driving him 300 miles.

They fondled the 33-year-old but when he didn’t become aroused they forced him to drink something from a bottle.

After that they raped him and put the semen in plastic bags in a cooler box before driving off, leaving him 500km from the township where they picked him up in Port Elizabeth.

Constable Mncedi Mbombo told Sowetan Live: ‘They then forced him to drink an unknown substance from a bottle. This got him aroused quickly even though he was still scared and didn’t want to have sex. )

No comments

Powered by Blogger.