Header Ads

Diamond kufungua station ya TV Siku ya May-Mosi Mlimani City

Kupitia kwenye kipindi cha XXL kinachorushwa clouds fm, msanii Diamond platnums, amezungumzia uzinduzi wa Tv station yake binafsi atakayoizindua mei 1 kwenye party ya zari inayofahamika kama zari all white party itakayofanyika mlimani city.

No comments

Powered by Blogger.