Header Ads

Breaking newz..Watu zaidi ya 35 wasadikiwa kupoteza maisha katika ajali ya Gari muda huu mkoani Shinyanga



Habari za kusikitisha katika msimu huu wa ajali, Leo jioni hii ajali nyingine mbaya imetokea maeneo ya karibu na Shinyanga mjini 14km to shinyanga from Tinde....Ajali hiyo imelihusisha basi la Jordan linalotokea Arusha na Lori la kampuni ya Coka colaa....Yamegongana uso kwa uso na inasadikiwa watu zaidi ya 35 wamepoteza maisha..







No comments

Powered by Blogger.