Header Ads

Watu 35 wafariki dunia na wengine kujeruhiwa vibaya siku wa kuamkia leo mkoani shinyanga..

Watu 35 wamefariki dunia na wengine 55 wamejeruhiwa vibaya baada ya kuangukiwa na nyumba zao kufuatia mvua kubwa iliyonyesha na kuambatana na upepo mkali usiku wa kuamkia leo, kata ya Mwakata, Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga.

No comments

Powered by Blogger.