Header Ads

Hizi ndizo fujo za Diamond Platnumz akiwa katika Mjengo wake..

Baada ya watu kuongea sana kuhusu Nyumba ya Diamond kuwa amefulia na hawezi kuimalizia na wangine wamesema kuwa amedhidiwa hata na Jux,Basi hichi ndicho alichokifanya Diamond ili kufunga kelele za wasiyo mjua vizuri..Mjengo huo wa kifahari mwenyewe anauita Diamond Palace ni mzuri kiukweli..




No comments

Powered by Blogger.