Header Ads

Housegirl wangu anataka zamu sawa na mke wangu baada ya kufanya nae mapenzi..

Wadau hapa juzi kati niliingia tamaa nikamtawanya housegirl wetu hapa home wakati mke wangu akiwa kazini.
Sasa toka nianze kumpatia dozi ya mahaba leo asubuhi nikiwa ofisini kanitumia sms eti jana usiku amesikia wakati Nampa haki wife sasa nae anataka apewe haki sawa kama ya bi mkubwa, Kaniambia kama naweza leo nitoke kazini mapema nitamkuta kashajiandaa

No comments

Powered by Blogger.