Header Ads

Mwanafunzi ajifungua ndani ya daladala..Kisa chote hiki hapa

Huyu ndio yule mtoto wa kidato cha pili kajifungua ndani ya daladala kwa Aziz Ally Dar.......anasoma Kesho sec Msichana huyo ambaye  inasemekana alijaribu kunywa dawa ya kutoa mimba na matokeo yake mambo yakaenda ndivyosivyo akiwa kwenye daladala.. hivi nini kifanyike ili upataji mimba kwa wanafunzi mashuleni upungue/uishe kabisa....elimu ya mapenzi salama ifundishwe shule au wazazi wawe wawazi kwa watoto zao kuwaeleza njia salama za kufanya mapenzi maana kumkataza/kumlinda nikituambacho hakitawezekana kwa kile kinachoonekana kuwa wameshashindikana/imeshindikana!

No comments

Powered by Blogger.