Mwalimu afumaniwa akiomba penzi kwa mwanafunzi iliasimpe adhabu..
Mwalimu wa shule moja huko Kilimanjaro jina kapuni kwamaadili ya kazi yetu amefikishwa katika kituo cha polis kwa kosa la mtaka mwanafunzi kimapenzi baada ya mwanafunzi huyo kufanya kosa ili tu asimpe adhabu..
Katika kesi hiyo ambayo mwalimu huyo alijitetea kuwa akuwa akimaanisha kumtaka kweli ila tu alikuwa anamtania mwanafunzi wake huyo na ndipo wazazi wa mwanafunzi huyo walipokasirika kwa kusikia hivyo na wanataka kesi ipelekwe mahakamani na bado haijatajwa siku ya kupelekwa mahakamani
Kwahabari zaid bofya hapa
Kwahabari zaid bofya hapa
No comments