Header Ads

Umaarufu unatafutwa kwa shida..Mwanamuziki Selena Gomez apandaa Stejini bila "Chupi"

Kweli hawa wasanii wa nje hamnazo, juzi, Girlfriend wa Justine Bieber, Mwanadada Selena Gomez aliamua kuweka Headlines kwenye media pale alipoanda stejini na kuanza ku perform huku sketi aliyovaa ikionesha kutopata support ya chupi kwa ndani.


No comments

Powered by Blogger.