Header Ads

Polis watumia mabomu ya Machozi kuwatawanya Machinga Dar

Gari la zimamoto likiwasili eneo la kamata kuzima moto uliowashwa na machinga.
Zimamoto wakiwa kazini. 
Mawe yaliyowekwa barabarani na machinga wakati wakiandamana kuelekea ofisi za jiji. 

 Wanausalama wakiwa eneo la tukio.
 
Wananchi wakishirikiana kuondoa mawe barabarani ili kuruhusu magari kuendelea na safari zake. JESHI la Polisi jijini Dar limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wafanyabiashara ndogondogo maarufu kwa jina la Machinga waliokuwa wanaandamana kuelekea ofisi za jiji eneo la Kamata, Kariakoo jijini Dar es Salaam leo. 

Machinga hao waliamua kuchoma matairi na kuweka mawe barabarani wakati wa maandamano hayo ambapo madai yao ni kuhusu unyanyasaji wanaofanyiwa na askari wa jiji ikiwemo kunyang'anywa mali zao.
 

No comments

Powered by Blogger.