Header Ads

Hakuna urafiki kati ya Mvulana na Msichana, Mwisho wao unaujua ni nini?? Bofya hapa

Karibu watu wote wana marafiki,lakini urafiki wa mvulana na msichana mwisho huishia kwenye mapenzi,Kwahiyo basi tunaweza kusema hakuna urafiki kati ya mwanaume na mwanamke kwasababu utaishia katika Mapenzi.
Ni wangapi ambao wameingia katika mahusiano baada ya kuzoeana sana kama marafiki?Bila shaka ni wengi mno. Mvulana na Msichana ni kama Sumaku mbili zenye pole tofauti ukiziweka karibu lazima tu Zitavutana tu.

Ogopa sana kama unademu wako na ukiongea nae kila mara anapenda kukuambia huyu ni rafiki yangu tena rafiki mwenyewe ni wa kiume ujue mwisho wa siku utalizwa tu hasa kama Upo mbali nae, Kwa sababu hao ata waki fanya mambo yetu hutoweza kujua kwa kigezo cha urafiki wao,Na wengi yamesha wakuta kama haya wanaanza kama marafiki na baadae wewe unawekwa pembeni na wao wanakuwa wapenzi tena hata wakudumu mpaka Ndoa.
Kuwa makini na linda tunda lako kwani likikupokonyoka kurudi mikononi mwako itakuwa ni historia....

No comments

Powered by Blogger.