Header Ads

Davido amla denda shabiki wake stejini....

Nimekutana nayo hii nikaona ni kudokeze na wewe mtu wangu, hii imetokea kwenye moja ya shoo zake Davido baada ya mizuka kupanda na kuanza kula denda na shabiki mbele ya kadamnasi jukwaani tukio ambalo lilishangaza wengi na kuwaacha midomo wazi.

No comments

Powered by Blogger.