AFRIKA KUSINI WATWAA UBINGWA WA SAFARI POOL AFRIKA 2014
Mabingwa
wa Safari Pool Afrika 2014 kutoka Afrika Kusini, timu ya Taifa ya Pool
ya Nchi hiyo wakishangilia na kitita cha Dolla 5000$ sawa na pesa
taslimu za Kitanzania Shilingi 8,500,000/= pamoja na medali za dhahabu
baada ya kutwaa ubingwa huo uliojulikana kwa “Safari All Africa Pool
Championship 2014” uliomalizika mwishoni mwa wiki katika Ukumbi wa
Budget Kunduchi Beach jijini Dar es Salaaam.
Rais wa
Chama cha Pool Africa(AAPA), Saths Reddy(kulia) akimkabidhi Meneja wa
timu ya Taifa ya Afrika Kusini ya mchezo wa Pool, kitita cha Dolla 5000
sawa na pesa taslimu za kitanzania 8,500,000/= mara baada ya kuibuka
mabingwa katika mashindano ya mchezo huo yaliojulikana kama “Safari All
Africa Pool Championship 2014” yaliyomalizika mwishoni mwa wiki katika
Ukumbi wa Budget Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam.
Rais wa
Chama cha Pool Africa(AAPA), Saths Reddy(kulia) akimkabidhi Kocha wa
timu ya Taifa ya Tanzania ya mchezo wa Pool kitita cha Dolla 2000 sawa
na pesa taslimu za kitanzania 3,400,000/= mara baada ya kuibuka washindi
wa pili katika mashindano ya mchezo huo yaliojulikana kama “Safari All
Africa Pool Championship 2014” yaliyomalizika mwishoni mwa wiki katika
Ukumbi wa Budget Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam.
Wachezaji
wa Taifa wa mchezo wa Safari Pool Tanzania, wakishangila wakiwa na
kitita cha Dolla 2000$ sawa na pesa taslimu za kitanzani Shilingi
3,400,000/= pamoja na medali za Silva mara baada ya kuibuka washindi wa
pili katika mashindano ya mchezo huo yaliojulikana kama “Safari All
Africa Pool Championship 2014” yaliyomalizika mwishoni mwa wiki katika
Ukumbi wa Budget Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam.
Bingwa wa
Afrika wa mchezo wa Pool upande wa mchezaji mmoja mmoja(Singles),
Ishmael Mthethwa kutoka Afrika Kusini akionyesha kitita cha Dolla 2,000
sawa na pesa taslimu za kitanzani Shilingi 3,400,000/= pamoja na medali
ya Dhahabu mara baada ya kuibuka bingwa katika mashindano ya mchezo huo
yaliojulikana kama “Safari All Africa Pool Championship 2014”
yaliyomalizika mwishoni mwa wiki katika Ukumbi wa Budget Kunduchi Beach
jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar
Shelukindo.
Bingwa wa
Afrika wa mchezo wa Pool upande wa mchezaji mmoja mmoja(Singles)
Wanawake, Suzette Booyens(kulia) kutoka Afrika Kusini akionyesha kitita
cha Dolla 1,000 sawa na pesa taslimu za kitanzani Shilingi 1,700,000/=
pamoja na medali ya Dhahabu mara baada ya kuibuka bingwa katika
mashindano ya mchezo huo yaliojulikana kama “Safari All Africa Pool
Championship 2014” yaliyomalizika mwishoni mwa wiki katika Ukumbi wa
Budget Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Meneja wa Bia ya
Safari Lager, Oscar Shelukindo.
Bingwa
wa Afrika wa mchezo wa Pool upande wa mchezaji mmoja mmoja(Singles),

Budget Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam.
Msindi wa
Pili wa Tanzania wa mchezo wa Pool upande wa mchezaji mmoja
mmoja(Singles) Wanawake, Rose Deus(kulia) akionyesha kitita cha Dolla
5,000 sawa na pesa taslimu za kitanzani Shilingi 850,000/= pamoja na
medali ya Silva mara baada ya kuibuka msindi wa pili katika mashindano
ya mchezo huo yaliojulikana kama “Safari All Africa Pool Championship
2014” yaliyomalizika mwishoni mwa wiki katika Ukumbi wa Budget Kunduchi
Beach jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Meneja wa Bia ya Safari Lager,
Oscar Shelukindo.
TIMU ya
Taifa ya mchezo wa Pool ya Afrika Kusini Wanaume imeibuka na ubingwa wa
Afrika katika mashindano ya Pool yaliyojulikana kwa “Safari Lager All
Africa Pool Championship 2014” yaliyofanyika katika Ukumbi wa Budget
jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki na hivyo kujinyakulia zawadi ya
Dolla 5,0000$ sawa na pesa taslimu za kitanzani Shilingi 8,500,000/=
pamoja na medali za dhahabu.
Mashindano
ya mwaka huu yaliendeshwa kwa mfumo wa Ligi ambapo afrika Kusini
walipata ubingwa kwa kuongozwa kwa Pointi 12,wakatiti waandaaaji wa
mashindano kwa mwaka 2014, Tanzania walipata pointi 10 na hivyom
kuzawadiwa dolla za kimarejkani 2,000$ pamoja na medali za silva
wakifuatiwa na Zambia mabingwa watetezi pointi 9 ambao walikamata nafasi
ya tatu na kuzawadiwa medali za shaba, ambapo Uganda nafasi ya nne
walipata pointi 7 na Kenya walipata nafasi ya tano kwa pointi 2.
Upande wa
Wanawake pia timu ya Afrika kusini ilitwaa ubingwa kwa pointi 11 na
kuzawadiwa medali za dhahabu, nafasi ya pili ilichukuliwa na Uganda kwa
pointi 8 na kuzawadiwa medali za silva, nafasi ya tatu ilikwenda kwa
Tanzania ambao walipata pointi 5 na Kenya ilikamata nafasi ya nne kwa
pointi 0.
Upande wa
mchezaji mmoja mmoja wanaume, IshmaelMthethwa kutoka Afrika Kusini
alitwaa ubingwa huo na hivyo kuzawadiwa dolla 2,000$ pamoja na Medali ya
dhahabu wakati mshindi wa pili ni Aden Joseph kutoka Afrika Kusini pia
ambaye alizawadiwa dolla 1,000$ pamoja na medali ya silva.
Upande wa
mchezaji mmoja mmoja(Singles) Wanawake, Nkosi Sikelel’l kutoka Afrika
Kusini alifanikiwa kutwaa ubingwa na hivyo kuzawadiwa dollah 1,000$
pamoja na medali ya dhahabu wakati mshindi wa pili ni Rose Deus kutoka
Tanzania ambaye alizawadiwa dolla 5,00$ pamoja na medali ya silva.
Akizungumza
na wanamchezo pamoja na wadau wa pool Meneja wa Bia ya Safari Lager,
Oscar Shelukindo alishukuru kwa mashndano kwanza kufanyika Tanzania kwa
mara ya kwanza na pia alishukuru kwa mashindano kuisha salama bila
matatizo yeyote.
Shelukindo
aliipongeza timu ya Taifa ya Afrika Kusini kwa kutwaa ubingwa wa Afrika
kwa mwaka 2014 lakini pia aliipongeza timu ya Tanzania kwa kupiga hatua
mpaka nafasi ya pili upande wa timu na nafasi ya pili kwa kina dada
singles.
Meneja
Oscar aliwaomba zwachezaji kuongeza juhudi katika mazoezi na
ikiwezekana mwaka ujao wa 2015 tuwe mabingwa wa Afrika kama ilivyo bia
ya Safari Lager bia bora Afrika.
Nae Rais
wa Chama cha Pool Afrika(AAPA), Saths Reddy aliipongeza Tanzania kwa
makaribisho mazuri na maandalizi mazuri na kukiri kwa mara zya kwanza
mashindano ya Afrika ya Mwaka huu 2014 yaliyoandaliwa na Tanzania
yamekuwa na hamasa na ushindani wa hali ya juu na hiyo inaonyesha kuwa
mchezo wa Pool sasa umekuwa.
Mwisho
Rais aliwatakiwa kila nchi kurudi nyumbali salama na mashindano ya mwaka
2015 yatakuwa Lethoto hivyo aliwaomba Tanzania kupitia mzamini Safari
Lager wasikose kushiriki.
No comments