ANGALIA PICHA AJALI MBAYA ILIYOTOKEA ARUSHA 22:49 0 Simanzi zimetanda jiji la Arusha baada ya watu zaidi ya 15 kufa katika ajali iliyotokea eneo la Tengeru. Akiongea na mwandishi wetu mmoja ya...
DIAMOND AKAMATWA NA KUACHIWA KWA DHAMANA 21:09 0 Baada ya wacheza shoo wake kukamatwa, hatimaye Diamond naye ajisalimisha polisi Kituo cha Polisi cha Oyster Bay, alihojiwa kwa masaa kadh...
LORI LA MAFUTA LAPINDUKA NA KUWAKA MOTO IRINGA, MMOJA AFA NA MWINGINE KUJERUHIWA 21:06 0 Mtu mmoja amefariki Mkoani Iringa baada ya lori lililobeba mafuta kupinduka na kuteketea kwa moto kisha kusababisha majeruhi kwa mmoja Akit...
Maskini: Mchezaji afariki akisherekea bao alilofunga 11:19 0 Mchezaji wa soka nchini India, Peter Biaksangzuala amefariki kutokana na majeraha aliyoyapata baada ya kuanguka vibaya uwanjani akisherehek...
Picha za Mh. Freeman Mbowe ndani ya mahaba mazito 11:12 0 Kiongozi wa Kambi ya Upinzani (Bungeni), Freeman Mbowe, wiki iliyopita alipamba vilivyo mitandao ya kijamii, haikuwa kwa sababu ya tishio l...
Waumini waleta vurugu kanisani wakimtuhumu askofu kuwa ni freemasons 10:09 0 Waumini wa kanisa la Anglikana Wilaya ya Nyamagana Mwanza walisimamisha kwa muda shughuli za ibada kanisani hapo baada ya kutokea vurugu ku...
Angalia picha za mtuhumiwa wa ulipuaji mabomu aliyeuawa mkoani Arusha 10:02 0 Polisi mkoani Arusha yamuua kwa risasi mtuhumiwa Namba Moja wa milipuko ya mabomu katika mikusanyiko jijini humo na umwagiaji watu tindikal...
TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA KWA VYOMBO VYA HABARI 21:12 0 MTU MMOJA MKAZI WA KIJIJI CHA IDUDA WILAYA YA MBOZI ALIYEFAHAMIKA KWA JINA LA MANENO WENELA (35) ALIUAWA KWA KUKATWA NA KITU CHENYE MAKALI ...
Ajali: abiria zaidi ya 45 wanusurika kifo baada ya basi kushindwa kupanda mlima huko Lushoto 18:38 0 Abiria zaidi ya 45 wengi wao wakiwa ni akina mama na watoto wa familia moja waliokuwa wakienda harusini,wamenusurika kifo baada ya basi dog...
Onyo kali kutoka JWTZ Kuhusu wanaovaa sare za Jeshi angali si Wanajeshi 18:32 0 JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA KURUGENZI YA HABARI NA UHUSIANO Simu ya Upepo : “ N G O M E ” Makao ...
Kibaka apokea kichapo kikali Morogoro baada ya kupora simu 18:28 0 Wakihojiwa na Paparaziwetu eneo la tukio mashuhuda wa tukio hilo walisema "dada alikuwa akieleka SUA huku akiongea na simu ghafla boda...