Miroslav Klose,Philipp Lahm na Mertesacker watunikiwa tuzo za heshima
Per Mertesacker, Miroslav Klose na Philipp Lahm baada ya kukabidhiwa tuzo zao Esprit Arena
Wakongwe
Miroslav Klose, Philipp Lahm na Per Mertesacker wamepewa tuzo za heshima
usiku huu kabla ya mchezo wa kirafiki kati ya Ujerumani na Argentina
Uwanja wa Esprit Arena.Watatu
hao waliichezea Ujerumani katika fainali ya Kombe la Dunia mwaka 2014
dhidi ya Argentina kabla ya kuamua kustaafu soka ya kimataifa.
Klose,
ambaye ni mfungaji bora wa kihistoria wa Ujerumani kwa mabao yake 71,
ametungika daluga baada ya kuwa mfungaji wa mabao mengi zaidi katika
historia ya Kombe la Dunia.
No comments