Header Ads

Angalia picha za uzinduzi wa Video ya Professor Jay

Nguli wa Muziki wa Kizazi kipya, Joseph Haule a.k.a Professa J jana aliweza kufanya vyema katika uzinduzi wa video zake mbili, 'Kipi Sijakisikia' na 'Tatu Chafu' uliofanyika jijini Dar es Salaam. Uzinduzi huo uliweza kuhudhuriwa na wasanii mbali mbali ambao walikuja kumpa support.





No comments

Powered by Blogger.