Header Ads

Ajali nyingine yatokea Muheza mkoani Tanga

Pichani ni mabasi mawili ya Simba Mtoto na Dar Express yakiwa yamepigana pasi  maeneo ya Muheza Mkoani Tanga mchana huu.

Haijafahamika mara moja madhara ya ajali hii wala chanzo chake kwa kuwa ripota wetu hakubahatika kumpata msemaji wa polisi. 

No comments

Powered by Blogger.