Header Ads

Ajali mbaya imetokea eneo la JKT, Dereva apoteza maisha papo hapo


Ajali mbaya ilitokea jana alfajiri katikati ya madaraja mawili ya chuma yaliyoko katika eneo la Kawe pembeni ya kambi ya JKT Mlalakuwa, Dar es Salaam.

Ajali hiyo ilisababisha dereva kupoteza maisha na kuacha vipande vya ubongo vikining'inia katika moa ya mdaraja hayo baada ya gari hilo aina ya Toyota Celica GTR lenye namba za usajili T220ABL kugonga na kisha kuingia kwenye ukingo wa daraja hilo na kisha kutumbukia kwenye mto.



No comments

Powered by Blogger.