Header Ads

Wabunge wasakata kabumbu jana Katika Usiku wa Matumaini

 Kikosi cha timu ya Wabunge mashabiki wa Yanga kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya mchezo wao na Wabunge mashabiki wa Simba. 
Beki wa timu ya Wabunge wa Simba, Wiliam Ngeleja akichuana na mshambuliaji wa Wabunge wa Yanga, Mwigulu Nchemba.
Mshambuliaji wa timu ya Wabunge mashabiki wa Yanga, Ridhiwan
Kikwete (kushoto), akimtoka beki wa timu ya Wabunge mashabiki wa Simba, Adam Malima katika mchezo wa Matumaini uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
 Mashabiki wakifuatilia mchezo huo.

No comments

Powered by Blogger.