Header Ads

Penzi la Shilole na Nuh Mziwanda matatani kisa meseji

Kutoka kwenye kinywa chake mwenyewe Nuh Mziwanda, leo hii amethibitisha kukatisha uhusiano wake wa kimapenzi na msanii mwenzake "Shilole"

Nuh amesema sababu ya kuachana na Shilole ni baada ya kukuta meseji kwenye sim ya shilole iliyokuwa kwenye gari inayosema "nieshafika Dar" baada ya kuiona meseji hiyo alimtaka Shilole ampigie mtu huyu mbele yake kusudi ajue ni nani, lakini Shishi alipopiga simu hiyo alijiwahi na kuanza kumwambia "Niko na Nuh Mziwanda" yaani kusudi yule ajue kama mi nipo nae asiongee chochote.
Nuh amedai baada ya kuona hivyo, alimpiga kibao shilole na ugomvi ukaanzia hapo, ambapo ulipelekea mpaka kwenda kuchukua vitu vyake kwa shilole.

No comments

Powered by Blogger.