Taadhari picha zinatisha...Mlipuko wa Gesi Kusini mwa Taiwan waaribu miundombinu
Milipuko wa Gesi uliotokea kusini mwa Taiwan umeua watu zaidi ya 25 na kujeruhi zaidi ya 257 pamoja na makazi ya eneo hilo ikiwemo miundombinu ya barabara na makazi kwa ujumla.
Baadhi ya majeruhi walionusurika katika tukio hili walisema mlipuko huu ulitokea majira ya usiku wa manane,ambapo kulisikika mlipuko wa kawaida lakin baada ya dakika kama tatu kulisikika mlipuko mwingine wa kishindo zaidi na ndipo walipoanza kukrupuka na kukimbia.

Barabara ikiwa imechimbika katika njia ya bomba la gasi
mto mkali ukionekana baada ya milipuko wa gesi kutokea
mwili wa mmoja wa wakazi ukiwa pembeni baada ya tukio hili
Wakazi wa kusini mwa Taiwan wakibeba mili ya marehemu kutoka eneo hili
Magari ya zima moto yalikuwa kwenye njia ya bomba la gesi baada ya mlipuko kutokea nayo yalipinduka kama hivi
No comments