Header Ads

Kijana auawa kwa kuchomwa moto kwa tuhuma za uwizi wa pikipiki

 Kijana mmoja ambaye jina lake na sehemu anayoishi hafikufahamika mara moja ameuwawa kikatili kwa kuchomwa na moto na wananchi wenye hasira akidaiwa kuiba pikipiki maeneo ya katikati ya mji wa Morogoro.Tukio hilo limetokea jana maeneo ya Mkundi nje kidogo ya mji wa Morogoroa

Kwa Mujibu  Mashuhuda wa Tukio Hilo walisema Pikipiki zaidi ya 20 zikitokea Mjini.Na moja ya boda boda hizo zilimbeba Kijana huku akiwa amefungwa kamba miguuni na mikononi huku  pikipiki nyingine ilibeba dumu la mafuta na kiroba cha majani makavu,wapofika hapa walimlazimisha kushuka huku wakimshushia kichapo na baaade walimchoma moto walipojirishisha amekufa waliwasha pikipiki zao na kuondoka eneo hili kwa mbwembwe.boda boda hao walisema walimkamata kibaka huyo alitaka kupora moja ya pikipiki zao”
Uchunguzi uliofanywa umebaini kwa sasa kumekuwa na vita isiyo rasmi kati ya vibaka na bodaboda ambapo vikaba kabla ya kuwapora pikipiki boda boda hao huwafunga kamba kisha kuwauwaa kikatili na baadae kutoweka na pikipiki,na kwamba boda boda hao nao wakifanikiwa kumkamata kibaka wa pikipiki umchoma moto kama walivyofanya kwa kijana huyu.
 Mashuhuda wa Tukio hilo Wakiwa Eneo  la Tukio
Baadhi ya wananachi wa Kata ya Mkundi wakimshnga Kibaka huyo ambaye alichomwa moto akidaiwa kuiba pikipiki

No comments

Powered by Blogger.