Header Ads

Diamond uso kwa uso na Jokate

Presenter maarufu ndani na nje ya bongo akiwa pia anajishuhulisha na maswala ya ugizaji Msanii Jokate Mwagelo katika hali isiyokuwa ya kawaida amekutana uso kwa uso na aliwewahi kuwa mpenzi wake msanii Diamond katika moja ya Interview ambayo hufanya kwenye kipindi cha The One show kinachorushwa na kituo cha Tv cha Tv1,ambapo Jokate alionekana kumwonea aibu msanii Diamond na yeye pia nguli wa bongo Fleva kuoneka akiona aibu vilevile unaweza kutizama pia hizo hapa

 


No comments

Powered by Blogger.