Ajali ya Fuso yaua mwendesha baiskeli Ifakara mkoani Morogoro
Mwendesha baiskeli ambaye hakufahamika jina lake mara moja amepoteza maisha baada ya kugongwa na lori aina ya Fuso eneo la Kibaoni, Ifakara mkoani Morogoro jana.
Marehemu anadaiwa kuwa ni mlinzi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) mkoani humo.
Marehemu anadaiwa kuwa ni mlinzi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) mkoani humo.

Baiskeli ya marehemu ikipakiwa kwenye gari.

Wananchi wakiwa eneo la ajali.
No comments