Header Ads

Ajali ya bodaboda yamvunja kijana mguu

Ajali hii  imetokea jana majira ya saa 9:45 mchana katika Manispaa ya Musoma mkoani Mara baada ya bodaboda kumgonga kijana mmoja ambaye hakujitambulisha jina lake mara moja  na dereva wa bodaboda kukimbia na kuacha chombo chake .
Kijana aliyegongwa na bodaboda na kuvunjika mguu wa kulia akiwa amelala chini katika Manispaa ya Musoma mkoani Mara.
Bodaboda iliyotelekezwa na dereva wake baada ya kumgonga kijana huyo ikiwa eneo la tukio.

No comments

Powered by Blogger.