WANAFUNZI WA CHUO CHA KUMBUKUMBU YA STEFANO MOSHI(SMMUCO) WAFUNGA BARABARA WAKITAKA KULIPWA PESA ZAO ZA MKOPO

Wanafunzi wakiwa katika Makundi mbalimbali katika mgomo huo

Mgomo ukiwa unaendelea huku wakidai pesa zao


Wanafunzi wakiwa wamefunga Njia muda huu

Hapa wakiendelea na madai yao wakiwa ni wanafunzi wa Mwaka wa Kwanza wa Pili na Watatu
Endelea kutembelea www.paparaziwetu.blogspot.com au ungana nasi katika page yetu ya facebook https://www.facebook.com/paparaziwetu kwa taarifa zaidi
No comments