HOT NEWS.....Mwalimu wa chekechea anashikiliwa na polisi kwa kosa la kuwanajisi watoto 3..
Mwalimu wa chekechea mwenye umri wa miaka 38 akamatwa kwa kukosa la kuwanajisi watoto watatu. Yeye alidai kuwa hana hatia kwasababu mmoja wa watoto hao, alionyesha kupenda kucheza naye.
Mr Folarin kwenye pichani,aliwapeleka chooni na kuwachezea kinyume na sheria. Katika mahojiano ya mwalimu huyo na polisi alisema kwamba mmoja wa watoto hao ndio waliovutiwa kucheza nae na hiyo ilimfanya ashindwe kujizuia kutokana na hulka za kibinadamu.
Mr Folarin vile vile aliendelea kujitetea kuwa kosa hili la kuwanajisi watoto hao si kusudio lake bali anaamini kwa ni pepo tu ndo huwa wanamwingilia na kusababisha afanye tendo hilo napokuwa na watoto hao, kwahiyo anaomba asilaumiwe.
"Nimefanya hivi kwa muda mrefu na huwa najihisi vibaya kila mara ninapokuwa nimefanya tendo hilo ila nimeshindwa kuacha,Kwanini msitafute namna ya kunisaidia?
Watu wanatakiwa wafikirie na kwa upande wangu. Mtu ambaye hajawahi kutenda dhambi na awe wa kwanza kunirushia jiwe.Kama Mungu hakuwaacha wadhambi wengine basi najua nami hatanitelekeza.Nimebadilika sasa."
FOLARIN AKIELEZEA JINSI ALIVYOKUWA AKIFANYA TUKIO HILO:
Watu wanatakiwa wafikirie na kwa upande wangu. Mtu ambaye hajawahi kutenda dhambi na awe wa kwanza kunirushia jiwe.Kama Mungu hakuwaacha wadhambi wengine basi najua nami hatanitelekeza.Nimebadilika sasa."
FOLARIN AKIELEZEA JINSI ALIVYOKUWA AKIFANYA TUKIO HILO:
Jinsi alivyofanya tendo lake la kiovu, Folarin aliwaalika watoto hao chooni na kuwaweka juu ya sinki la kunawia mikono,na kuwapaka hair cream kwenye sehemu zao za siri na kuwachezea lakini alisema hakuwahi kuwaingilia,madai ambayo polisi walithibitisha si ya kweli kutokana na uchunguzi wa daktari ulionyesha bikra zao kutokuwepo.
"Sikuwahi kuwaingilia,nilitumia tu uume wangu kusugua sehemu zao za siri na nilitumia hair cream kulaiinisha sehemu zangu za siri na kisha kupiga punyeto ili kukidhi haja yangu.
Ofisa wa polisi uhusiano wa umma wa Oyo,SP Olabisi akielezea tukio hilo alisema:
Mtuhumiwa amejihusisha na uhalifu huu mara nyingi na waathirka wote wamedai kuwa aliwafanyia hivyo mara mbili kwa wiki. Msichana wa tatu alishurutishwa na mtuhumiwa kufunika maovu hayo na msichana huyo aliona kikaratasi ambacho mwalimu huyo alimwaandikia mmoja wa wale wasichana wawili akiwa anafagia na kuuliza kilichokuwa kinaendelea. Mwalimu alikichukua kikaratasi kile,na kwa hofu ya kujulikana aliamua amuingize huyo mtoto kwenye kundi hilo"alisema
kwasababu ya ukubwa wa kosa, Folarin atahamishiwa makao makuu ya polisi ambapo uchunguzi zaidi utaendelea.
Akamatwe na yeye afanyiwe hivyo hivyo asitake kujitetea na kumsingizia shetani katika hilo.....
ReplyDelete