Header Ads

Jeshi la Polisi mkoani Tabora linawashikilia watuhumiwa watu 9 .....

Akiwemo mwanamke mmoja anayejihusisha na vitendo vya kuuza Risasi za Smg na Sar kutoka mkoani kigoma,ambapo alikuwa tayari ameuza risasi mia tatu na saba ambazo zilikamatwa mjini tabora.

Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari mkoani tabora kamanda wa Polisi mkoani tabora kamishina mzaidizi Suzani Kaganda amesema watuhumiwa hao wamekamatwa kutokana na msako mkali unaoendelea kufanywa na jeshi hilo.

No comments

Powered by Blogger.