Tukio limetokea muda mchache uliopita pale Moroko. Watu waliokuwa kwenye gari waliwarushia risasi watu wa gari nyingine na kukwapua fuko la pesa na kutoweka nazo. CHANZO : JAMII FORUMS
No comments