Lulu Michael.. Awaasa haya wasichana wenzake.....
Elizabeth Michael ‘Lulu’ amewaasa wasichana wenzake kujitahidi kujishugulisha na kazi mbalimbali kuingiza ‘kipato’ na wasiendekeze kuhongwa fedha na mapedeshee kwani ni aibu.
Akistorisha na paparazi wetu pasipo kuweka wazi kama alishawahi kuhongwa au la, Lulu alitiririka:“Jamani wasichana wote tuinuke tuachane na mambo ya kuhongwa fedha na matajiri kwani hizi zina mwisho wake, siku hizi mambo yote ni kujishughulisha.”
No comments