Header Ads

Ajali mbaya ya basi yauwa 2 na kujeruhi wengine...

Watu wawili wamefariki dunia kutokana na ajali ya basi asubuhi ya leo.
Basi hilo lililokuwa likitokea Jijini dar es salaam kuelekea Mombasa nchini Kenya limeacha njia na kupinduka na kusababisha vifo vya watu wawili pamoja na kujeruhi abiria 10.Ajali hiyo imetokea  katika eneo la Mkata na Goba  Barabara Kuu ya Chalinze Segera

No comments

Powered by Blogger.