Daraja la bunju limekatika katika kiungio cha mwanzo kwa hiyo hakuna mawasiliano kutoka upande wa Bagamoyo na Dar
Mawasiliano kati ya Dar es Salaam na Bagamoyo yavunjika baada ya Daraja la Bunju B jiran na bao bao au kwa kipingu kuvunjika Kama unakwenda Bagamoyo nakushauri rudi nyumban hakuna njia!
No comments