Watu wamekuwa wakizusha eti wema sepetu aligombana na kajala. Na reason behind ilikuwa mara tu baada ya kajala kupost picha ya mtoto wa victoria kimani. Na hiki ndicho kilichopostiwa na wema sepetu kupitia twitter. Na kurepostiwa na wema daily kupitia mtandao wa instagram
No comments