Angalia Picha za maajabu ya mchwa wanavyojilinda
Katika hali ya kawaida unaweza fikiri kwamba mchwa ni viumbe wadogo na dhaifu sana lakini sivyo na usifikirie kabisa hivyo.
Ukiangalia picha hizi unaweza sema mchwa hawa wapo katika mvua lakini si kweli ni hali yao yakujilinda wasidhuriwe na adui zao.
Mchwa hao ambao hutoa asidi aina ya formic kutoka tumboni mwao kwa lengo la kujilinda wasililiwe na ndege na hata kudhurika na dinadamu kwani haina hii ya asidi inaharufu mbaya sana.

Lakini pamoja na kuwa asidi hiyo ni sumu vilevile ndege huwa tumia mchwa hao ambao huzalisha formic asidi kwa kujikwamua vimelea katika miili yao pasipo kuwala mchwa hao.
Haya ndiyo maajabu ya Mungu katika kuumba ulimwengu na vitu vyake.
No comments