Apoteza maisha baada ya kupigwa risasi na wauza unga....Soma zaidi hapa
Jana
mapema asubuhi watu wanaosadikika kuwa ni wauza unga walimuua kijana
mmoja aliyejulikana kwa jina la Adriano Silva mwenye umri wa miaka 22
kwa kumpiga risasi tano mwilini mwake.
Mashuhuda
watukio hilo wanadai kuwa watu hao walio kuwa na silaha walianza
kumfyatulia kijana huyo risasi baada ya watu hao kupishana kauli na
kijana huyo aliyekuwa akitembea katika mitaa ya Panama huko nchini
Mexico.
Kwa
mujibu wa jeshi la polisi baada ya kufanya uchunguzi wa awali wamebaini
kuwa kijana huyo alikuwa ni miongoni mwa watu waliokuwa
wanajishughulisha na biashara hiyo haramu ya kuuza unga.
TUNAOMBA MAONI YAKO HAPA CHINI KUHUSU TAARIFA HII!!!
No comments