MWENYEKITI WA CCM DR.JAKAYA KIKWETE AONGOZA MATEMBEZI YA MSHIKAMANO MAADHIMISHO YA MIAKA 37 YA CCM JIJINI MBEYA
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete akiongoza matembezi
ya mshikamano kutoka viwanja vya Soweto Kwenda Bustani ya Jiji jijini
Mbeya huku akiwa amewashikilia watoto wakati wa maadhimisho ya miaka 37
ya kuzaliwa kwa chama cha Mapinduzi CCM yanayofanyika leo mkoani Mbeya
kwenye uwanja wa Sokoine Kutoka kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM bara
na Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi Mwigulu Nchema, Makamu Mwenyekiti wa
CCM bara Mzee Philip Mangula na kutoka kushoto ni Katibu wa NEC Fedha na
Uchumi Mama Zakhia Megji, Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana
na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mbeya na Naibu Waziri wa Kilimo Chakula na
Ushirika Mh. Godfrey Zambi wakishiriki matembezi hayo, Matembezi hayo ya
kilomita tano yalianza Saa moja na nusu na kumalizika Saa mbili na
robo.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-MBEYA)Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete akiwasili eneo la
Soweto Mwanjelwa jijini Mbeya tayari kwa kuanza matembezi ya mshikamano
kwa ajili ya maadhimisho ya miaka 37 ya CCMMwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete akiMwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete akiwasili eneo la SowetoMwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete akisalimiana na
Makamu Mwenyekiti wa CCM bara Mzee Philip Mangula na Katibu Mkuu wa CCM
Ndugu Abdulrahman Kinana.
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete na viongozi wengine
wa kitaifa wa CCMwakiwa wamejipanga tayari kwa kuanza matembezi hayo.,Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete kulia ,Mwenyekiti
wa CCM mkoa wa Mbeya na Naibu Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika Mh.
Godfrey Zambi na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakisonga
mbele.Maaskari wa vikosi vya usalama Barabarabi na Usalama wa rais wakijiweka sawa na kuupanga msafara wa matembezi hayoWanahabari wakishiriki katika matembezi hayo,Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete kulia akiwapungia
mkono wananchi waliojitokeza barabarani wakati matembezi hayo
yakiendelea.Adam Gille na wanahabari wengine wakiwajibika kama kawaWananchi wakishiriki katika matembezi hayoMwitikio wa wananchi ulikuwa mkubwa pamoja na kwamba matembezi hayo yalianza mapema saa moja na nusu mpaka saa mbili na robo.,Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete kipenzi cha watoto
ameshiriki nao katika matembezi hayo kama anavyoonekana akitembea
sambamba na watoto haoUmati wa wananchi ukiwa umefunika barabaraMwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete kulia akiingia
kwenye bustani ya jiji la Mbeya tayari kwa kupokea matembezi hayo
yaliyoanzia Soweto Mwanjelwa na mkumalizikia katika bustani hiyo kiasi
cha kilomita tano. kutoka kushoto ni Katibu wa NEC Fedha na Uchumi Mama
Zakhia Megji, Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana , Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mbeya na Naibu Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika Mh. Godfrey Zambi.Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete mara baada ya kupokea matembezi hayo kutoka kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana .Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mbeya na Naibu Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika Mh. Godfrey Zambi na kutoka kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Mzee Philip Mangula na Marck Mwadosya Waziri Ofisi ya Rais kazi MaalumNape
Nnauye Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi akitambulisha viongozi
mbalimbali mara baada ya Rais Dr. Jakaya Kikwete kupokea matembezi hayo
katika bustani ya jiji mkoani Mbeya.Waziri wa Uchukuzi Dr. Harrison Mwakyembe akizungumza na wananchi, kulia ni Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi.Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete akiteta jambo na
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kulia na Dr. Mohamed Seif
Khatibu Katibu wa NEC Oganizesheni huku wakifurahia mazungumzo hayo Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete akizungumza na wana
Mbeya mara baada ya kupokea matembezi hayo kwenye bustani ya Jiji jijini
Mbeya ikiwa ni maadhimisho ya miaka 37 ya Chama cha Mapinduzi
yanayofanyika kwenye uwanja wa Sokoine leo jijini Mbeya.
No comments