Header Ads

LIVERPOOL YAICHANACHANA ARSENAL...5-1


LIVERPOOL imewaadhiri Arsenal waliokuwa wanasifiwa wana ukuta mgumu, kwa kuwafumua mabao 5-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni hii Uwanja wa Anfiled.
Mabao ya Liverpool leo yamefungwa na Skrtel dakika ya kwanza na 10, Sterling dakika ya 15 na 52 na Sturridge dakika ya 20
Bao la kufutia machozi la Arsenal lilifungwa na Arteta dakika ya 69 kwa penalti. Ushindi huo, unaifanya Arsenal ibaki na pointi zake 55 katika nafasi ya pili baada ya kuchea mechi 25, wakati Liverpool imefikisha pointi 50 baada ya mechi 25 pia, ingawa inaendelea kubaki nafasi ya nne.

 Wachezaji wa Liverpool wakishangilia ushindi wao mnono dhidi ya Arsenal leo
Hit the road, Jack: Arsenal midfielder Wilshere can't believe his side's capitulation against their rivals
 Kiungo wa Arsenal Jack Wilshere akiwa haamini macho yake juu ya kilichowakuta leo


No comments

Powered by Blogger.