JUAN MATA, TORRES WATEMWA TIMU YA TAIFA HISPANIA
JUAN Mata na Fernando Torres wametoswa kwenye kikosi cha Hispania kitakachocheza mchezo wa kirafiki na Italia Machi 5.
Mata ameichezea Hispania mechi 32 na kutupia wavuni mabao 9 lakini kocha Vicente Del Bosque ameamua kutomuita.
Torres mwenye magoli 9 katika mechi 27 alizoichezea Chelsea msimu huu ambaye pia aliIfungia Hispania bao kwenye fainali ya Euro 2012 dhidi ya Italy nae amepigwa chini katika kipindi cha maandalizi ya fainali za kombe la dunia nchini Brazil baadae mwaka huu.
Hiki ndicho kikosi kamili kilichoitwa kwaajili ya mechi dhidi ya Italia.
Goalkeepers: Iker Casillas (Real Madrid), Pepe Reina (Napoli, on loan from Liverpool), Victor Valdés (Barcelona)
Defenders: Juanfran (Atletico Madrid), Javi Martínez (Bayern Munich), Sergio Ramos (Real Madrid), Jordi Alba (Barcelona), Cesar Azpilicueta (Chelsea), Raul Albiol (Napoli)
Midfielders: Xabi Alonso (Real Madrid), Sergio Busquets (Barcelona), Xavi Hernandez (Barcelona), Koke (Atletico Madrid), Thiago Alcantara (Barcelona), Andres Iniesta (Barcelona), Jesus Navas (Manchester City), Santi Cazorla (Arsenal), Cesc Fabregas (Barcelona), David Silva (Manchester City)
Forwards: Diego Costa (Atletico Madrid), Alvaro Negredo (Manchester City), Pedro Rodriguez (Barcelona).
No comments