Header Ads

Wanne wafariki hapo hapo na Zaidi 32 kujeruiwa vibaya Mayoni Singida.... soma zaidi hapa

Bus la kampuni ya BUNDA linalofanya safari zake kwenda mara limepata ajali katika maendeo ya manyoni mkoani singida kufuatia kugonga trni na kusababisha vifo vya watu wawili hapo hapo na majeruhi wengine kukimbizwa hospitali .. mashuhuda wa ajali hiyo wamesema ajali imetokana na dereva kupuuzia taa zilizomhashiria kusimama ndipo alipo livaa treni.. tutaendelea kuwapasha.


TUNAOMBA MAONI YAKO HAPA CHINI KUHUSU TAARIFA HII!!!

No comments

Powered by Blogger.