ARSENAL YAREJEA KILELENI LIGI KUU ENGLAND,baada ya Crystal Palace 2-0
Kiungo huyo wa kimataifa wa England mwenye umri wa miaka 20 amekuwa fiti tena baada ya kuwa nje kwa miezi mitano sababu ya majeruhi goti aliyoyapata siku ya kwanza ya msimu.
Alifunga mabao hay katika dakika za 47 na 73 na sasa Arsenal inarejea kileleni kwa kutimiza pointi 55 baada ya kucheza mechi 24, ikiizidi pointi mbili Manchester City katika nafasi ya pili.
Mikel Arteta kushoto akimpongeza Chamberlain baada ya kufunga bao la pili.
Alex Oxlade-Chamberlain alifunga mabao mawili kipindi cha pili leo.
kikosi cha Crystal Palace:
Speroni 6; Ward 6, Gabbidon 6, Delaney 6, Parr 5; Bolasia 5, Dikgacoi 6, Jedinak 6, Puncheon 5; Chamakh 5 (Gayle 82); Jerome 5 (Bannan 55, 6)
kikosi cha Arsenal:
Szczesny 6; Sagna 6, Mertesacker 7, Koscielny 6, Monreal 6; Arteta 6, Oxlade-Chamberlain 7; Cazorla 8, Ozil 6 (Gibbs 84), Podolski 6 (Rosicky 71, 6); Giroud 6 (Bendtner 84).
MECHI NYINGINE ILIYOCHEZWA JANA LIGI KUU ENGLANDNI KATI YA
West Bromwich Albion 1 - 1 Liverpool
No comments