WANAFUNZI WANNE WAFARIKI DUNIA KWA KUGONGWA GARI WAKATI WAKIKIMBIA MCHAKAMCHAKA HUKO MTWARA.
Wanafunzi
wanne Wa shule ya sekondari Mustapha Sabodo mjini Mtwara wamekufa na
wengine zaidi ya 20 kujeruhiwa baada ya kugongwa na gari aina ya Benz
wakiwa kwenye mchakamchaka asubuhi ya leo.
No comments