Header Ads

VIJANA WANNE WAKAMATWA WAKIJISAIDIA AJA NDOGO

Vijana hao ambao walikuwa wakipita katika kisiwa cha Eko o n baje huko Nigeria walijikuta wakiingia katika sakata hili baada ya mmoja wao kuanzisha kamchezo hako kakutaka kukojoa na wengine kufuatia.

Watunza mazingira walitoa taarifa kwa polisi na hapo ndipo walijikuta wakikamatwa kama kumbikumbi asiye na mbawa na kupelekwa mbele ya sheria kwa kuaribu Mazingira.

No comments

Powered by Blogger.