Ndege ya shirika la Zan Air imeanguka Pemba jana jioni ikiwa imebeba jumla ya abiria 19, miongoni mwa abiria hao pia alikuwamo Waziri wa Habari na Katiba wa Zanzibar, Mhe. Abubakar Khamis. Abiria wote wametoka salama.
Mapaparazi wanaedelea kufuatilia tukuio hilo, kuwa pamoja nasi kwa taarifa zaidi.
No comments