MJASIRIAMALI WA SABUNI ZA MAJI ATIMKA NA MILIONI 30 ZA VODACOM
Meneja
Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania,Bw.Matina
Nkurlu(katikati)akishuhudiwa na Msimamizi wa bodi ya Michezo ya
kubahatisha nchini,Bw.Humudi Abdulhussein(kushoto)wakati akimpigia
mshindi wa droo kubwa ya mwezi ya promosheni ya Timka na Bodaboda
Bi.Jovita Mosha(44)mkazi wa Ubungo external jijini Dar es Salaam
aliyeibuka na kitita cha shilingi Milioni 30.kulia ni Mkuu wa kitengo
cha Mtandao na huduma za ziada wa kampuni hiyo Bw.Charles Matondane.
Msimamizi
wa bodi ya Michezo ya kubahatisha nchini,Bw.Humudi
Abdulhussein(kushoto)pamoja na Mkuu wa kitengo cha mtandao na huduma za
ziada wa Vodacom Tanzania Bw.Charles Matondane(kulia)wakifurahia jambo
wakati Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania,Bw.Matina
Nkurlu(katikati)alipokuwa akiongea na mshindi wa droo kubwa ya mwezi ya
promosheni ya Timka na Bodaboda Bi.Jovita Mosha(44)mkazi wa Ubungo
external jijini Dar es Salaam aliyeibuka na kitita cha shilingi Milioni
30.Promosheni hiyo imebadilisha maisha ya watanzania zaidi ya 700.
Meneja
Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Bw.Matina Nkurlu,akisisitiza jambo kwa waandishi wa Habari (hawapo pichani)kuhusiana napromosheni hiyo
ilivyobadilisha maisha ya wateja wao na watanzania kwa ujumla,mara baada
ya kumtangaza mshindi wa droo kubwa ya mwezi ya"promosheni ya Timka na
Bodaboda" Bi.Jovita Mosha(44)mkazi wa Ubungo external jijini Dar es
Salaam aliyeibuka na kitita cha shilingi Milioni 30
No comments