MAJANGA!!!! BAADA YA KUACHANA NA MUMEWE MKE ATAKA ARUDISHIWE FIGO YAKE
Mwanamke mwenye umri wa miaka 41 Samantha ambaye alitoa figo yake kumsaidia mumewe ambaye alikuwa ana maradhi ya figo anaitaji arudishiwe baada ya kutengana.
Baada ya kuona kuwa mume wake ambaye aliangaika kutafuta figo nyingine pasipo na mafanikio aliamua kutoa figo yake moja ili kuokoa maisha ya mume wake Andy Mwanakondoo.
lakinI baada ya Samantha kugundua kuwa mumewe huyo alikuwa akitoka/kuwa na uhusiano wa kimapenzi na rafiki yake Clare. Samantha alimpa mumewe Andy nafasi nyingine lakini pasipo mabadiliko kutoka kwa mumewe.
Lakini baada ya misukosuko mingi ya ndoa Andy alimtelekeza mkewe huyo na ndipo Sam' alipo hitaji kurudishiwa figo yake kwani aliona kupenda kwake kulikuwa hakuna faida kwa mumewe.

No comments