DARAJA LA DUMILA LAANZA KUTUMIKA, MAWASILIANO DODOMA NA MORO YAREJEA
Waziri wa ujenzi John Magufuli akiruhusu Lori la kwanza kupita katika daraja la Dumila wilayani Kilosa baada ya wahandisi wa wizara hiyo kukesha usiku kucha kutengeneza daraja hilo.
Waziri Magufuli akitoa maagizo kuhusu daraja hilo.
Magufuli akihimiza kukamilika kwa kazi ya daraja hilo ili magari yaweze kupita
No comments