Header Ads

ANGALIA PICHA YA SAMAKI WA AJABU ALIYEPATIKANA KAFA KANDO YA BAHARI NCHINI NIGERIA, MDA MCHACHE TU BAADA YA KUTOKEA MCHAFUKO WA BAHARI

samaki mkubwa aina ya nyangumi amekutwa amekufa hapo jana baada ya kupwa na kujaa kwa maji baharini kulikumba jiji la Lagos nchini Nigeria  ambapo wakazi wa kitongoji cha Alpha Beach kilichopo  kandokando na bahari  hiyo walikumbwa na dhahama hiyo iliyopelekea baadhi ya viumbe wa bahari kufa.

Mapema mwezi huu serikali nchini Nigeria ilitangaza ongezeko la maji baharini na hivyo kutoa angalizo kwa wakazi wa pwani ya bahari ya Surge.

kitongoji cha Alpha Beach baada ya ongezeko la maji  bahari

hii pia imechangiwa na ongezeko kubwa la idadi ya watu katika jiji la Lagos ambapo watu wengi kutoka Majimbo mengine hukimbilia katika jiji hilo.

No comments

Powered by Blogger.